Managing Director (MD)
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Chato ni Mamlaka iliyoanzishwa mnamo Mwaka 2018 na inafanya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Maji na Usafi wa MazingiraNa.5 ya mwaka 2019.
Eneo la huduma za Maml...aka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Chato linajumuisha kata Tatu ambazo ni BWINA, CHATO KATI pamoja na MUUNGANO.
Zifuatazo ni Huduma zitolewazo na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Chato;
Read more
NDUGU MTEJA TUMIA NAMBA HII KUTOA TAARIFA YEYOTE MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA CHATO (CHAWASSSA). 0800112525 Piga simu bure kabisa bila makato muda kuanzia saa moja na nusu asubuhi mpaka saa kumi na mbili kamili jioni .Ukiwa na changamoto yeyote piga simu na hautakatwa hela yoyote yaani unapiga simu BURE! Ahsante.
30-Aug-2023